Mcheke utoke kimaisha!!

mkuu hapo haujawacheka bali umewachekelea kuwa cheka ni 'haaaoooooooooooooh ooooooooohhhhh yaan apo umewacheka na kuwazomea.
ngoja nikucheke Eck fulani nifanane na wewe oshooshoshoshosh hhhhhhhuuuuu hiiiiii😀😀
 
Mkono ungepigwa bwana....
Sasa wakinyukana si na sisi huku tutaathirika indirect!!!! Mie muoga wa ugomvi hata nikiona kuku wanapigana najisikia woga
 
Wewe tutunze bikra zetu tutazitumia wote mbinguni.
Miss Natafuta zaidi ya kuwa na bikira bado anakwambia K yake ni "mtelezo" hahahahahahahahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…