Mcheke utoke kimaisha!!

Mcheke utoke kimaisha!!

Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
hahahaaaa CHIKIRA MTABARI
 
kuna mama mmoja mume wake alimfumania na kiserengeti akawekwa kikao na wazee wa ukoo wakamchamba wee ooh kwanini unatembea na watoto blah blah kibao akawauliza hivi ninyi nani asopenda vitu vitamu?
hahahah wazee wakainama bila shaka, kutunga sheria hahahahaha, Ila viserengeti navyo wakati mwingine ni balaa maana kanageuza kama chapati jikoni, sikushauri sana shoga yangu kakuchezee bikira yako😀😀
 
hahahah wazee wakainama bila shaka, kutunga sheria hahahahaha, Ila viserengeti navyo wakati mwingine ni balaa maana kanageuza kama chapati jikoni, sikushauri sana shoga yangu kakuchezee bikira yako😀😀
ahaaaaa acha tu bikra hii ahaaaaa
 
h
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
ahahahahaha lowasaaaaaa
hahahahahah ndesamburo
hahahahhaahh rostam aziz
 
Kungekuwa na kucheka uadhibiwe upate bahati ya uliowacheka mie ningemcheka naniliu.... yaani bahati ua ukuu wa wilaya, wa mkoa na influence isiyoelezeka. Baba Jesca ningemshikaje masikio!
 
Kungekuwa na kucheka uadhibiwe upate bahati ya uliowacheka mie ningemcheka naniliu.... yaani bahati ua ukuu wa wilaya, wa mkoa na influence isiyoelezeka. Baba Jesca ningemshikaje masikio!
Sasa si umcheke tu kabisa baba J...ca hahahahahahahaha
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Back
Top Bottom