myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
hahahaaaa CHIKIRA MTABARINasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:
hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa
Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato