Ah huyu nkimcheka nintayapata madhila yake.... Ila nkimcheka bwana yule ah... nkitaka leo twende kushoto naminya sikio la kushoto kama indicator.Sasa si umcheke tu kabisa baba J...ca hahahahahahahaha
Haha Dr unatafuta nini kwa huyu mama wa watu
Duh atakaye kucheka ajiandae kumiliki mitunguli na miusingaNicheke mimi uone[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji23]
Hahaaa we hamu sinaaa khaaa[emoji125] [emoji125]Nicheke mimi uone[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji23]
Au ana nyege sana[emoji85]ukiona mtu anacheka ujue kuna mawili
bora awe anachekeshwa
ila kama anacheka mwenyewe kuna hayo mawili
bora awe chizi
ila kama sio chizi maisha yamemkaba huyo
Heee na jua lote hiliAu ana nyege sana[emoji85]
Kwani hua inaangalia ni vuli au masika nyge nyege tuHeee na jua lote hili
Nakuwazia tu hapo ulipo yaniKwani hua inaangalia ni vuli au masika nyge nyege tu
Kwani unahisi nipojeNakuwazia tu hapo ulipo yani
Kwishney...,,mbona hamumcheki Manji ?
Upo pekeake kwa bedKwani unahisi nipoje
NishazoeaUpo pekeake kwa bed
Wee unazoeaje kuwa pekekeako?Nishazoea
Mwenyenzi,Mungu hadhiakiwi ndugu,Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:
hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa
Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
Asante sana! Napokea!