Mcheke utoke kimaisha!!

Mcheke utoke kimaisha!!

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
 
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
Nicheke mimi uone[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji23]
 
Usije ukasema eeeeh jesus ili ufanane nae labda lusifer km yy ni mtu
 
ukiona mtu anacheka ujue kuna mawili
bora awe anachekeshwa
ila kama anacheka mwenyewe kuna hayo mawili
bora awe chizi
ila kama sio chizi maisha yamemkaba huyo
 
Haha haaaa Rais wa korea kaskazini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom