Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji wa kibongo anayeweza kuchekesha bila hata ya kuongea ni ZIMWI. Jamaa anajua sana.

Leonardo ktk standup comedy anafanya vizuri pia!

Mbefele namkubali sana Anwar Al-Jibawi na King Bach
 
Hawa jamaa wanataka kusifiwa , hiyo kitu haipo , prove your own , sio unatuletea uzi ukidemand one sided battle , mwanaume kamili anahtaji critics ili atembee mjini .... Asa hawataki negative , huyo jamaa wanayemsifia mweupe sana same to cholo commedian , came and gone...tuupe mda uamue hii battle
[emoji23]
Nimecheka sana ulipomtaja Cholo comedian, jamaa sijui kapotelea wapi tu.
 
Mwingine ambae naona huwa analazimisha sana kuchekesha mpaka anakuwa mjinga ni yule JOLY MASTER.
 
Too early to judge. Halafu ni ngumu kumpima comedian mzuri kwa clip fupifupi, BTW so far so good napenda idea zake. Keep it up
 
Back
Top Bottom