Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji wa kibongo anayeweza kuchekesha bila hata ya kuongea ni ZIMWI. Jamaa anajua sana.

Leonardo ktk standup comedy anafanya vizuri pia!

Mbefele namkubali sana Anwar Al-Jibawi na King Bach
 
[emoji23]
Nimecheka sana ulipomtaja Cholo comedian, jamaa sijui kapotelea wapi tu.
 
Mwingine ambae naona huwa analazimisha sana kuchekesha mpaka anakuwa mjinga ni yule JOLY MASTER.
 
Too early to judge. Halafu ni ngumu kumpima comedian mzuri kwa clip fupifupi, BTW so far so good napenda idea zake. Keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…