Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Anatumia energy sana mixer kujifanya mtoto
Kujifanya mtoto ni kosa? si inategemea na character anayoigiza. Kwani kina Mr Bean hawajawahi kujifanya watoto?
 
Kujifanya mtoto ni kosa? si inategemea na character anayoigiza. Kwani kina Mr Bean hawajawahi kujifanya watoto?
Huo uchekeshaji upo out of fashion
 
Kwanza lini Tinny kajifanya mtoto!! Sidhan kama ana mfaham. Unamfaham vzuri TINY WHITE LKN?? FK21
Nikajua labda kuna characters kacheza kama mtoto sizijui ndio maana sikutaka kumpinga, ila mimi binafsi sijawahi kuziona[emoji16]
 
Kwenye stand up comedy Joti hana mpinzani
Mfano mzuri,ona alivyokuwa anaenda kutoa ile tuzo ya Kili sijui mwezi wa ngapi ule..yaani usipocheka pale huna bandama.
Hizo nyingine wapowapo,mimi Kuna wale ambao hawajiiti maconedian,ndo wananichekesha,Mfano akina Kimbembe,
Thea character aliyocheza kwenye jeraha,
Msungu namna alivyokuwa anadeal na ndugu zake kwenye fungu langu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ukanda wa Africa Mashariki na Kati Erick Omondi wa Kenya Hana mpinzani.
 
Joti na stand up comedy wapi na wapi?
 
Mbona Kenya wanatumia Kiswahili kibovu lakini utacheka Hadi upagawe... Mtu kama pastor Kuria au Sami kioko unakuta wanatoa maneno ambavyo hata kama umenuna lazima ucheke Tu...
Wabongo shida Yao moja naona hawakufanyi Bali wanakulazimisha ucheke ni mara chache Sana wanajitahidi.... Walau ubunifu wa Ze Comedy Show ulibamba sana
 

ugonjwa ni ule ule kutokubali vya nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…