Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Simfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedy
IMG_20230324_101041.jpg
 
Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure
 
Mada za kuchekesha ni zipi siasa ,au, dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom