Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

Hao wote wanazan kuw kusema ukweli ni kuwa Kinyume na CMC
 
Hivi unaamini kwamba alikuwa na rundo la CV za kweli? Yeye alizipataje? Waliomtumia, hata kama wanafika 50, walimtumia ili iweje?>
Mwezi uliopita alihamasisha vijana waandike CV zao, probably ndio hizo alizozipata.

Kama unamfuatilia utajua hili swala alilianza mwanzoni mwa huu mwaka.
 
Anajua anachokifanya
Kwa vitu kama vipi mtu kama huyu anakuwa na backup kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…