Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

Hao wote wanazan kuw kusema ukweli ni kuwa
Ila kisiasa Wakenya wametuacha mbali sana pamoja na mapungufu yao Mengi

Omondi akamatwa akiwa amebeba rundo la CV kwenye mkokoteni akimpelekea Rais Ruto Ikulu

Kwa Tanzania Omondi ni Sawa na akina Joti, Masanja Mkandamizaji, Steve Nyerere, Mmawia nk

Ramadan kareem!
Kinyume na CMC
 
Hivi unaamini kwamba alikuwa na rundo la CV za kweli? Yeye alizipataje? Waliomtumia, hata kama wanafika 50, walimtumia ili iweje?>
Mwezi uliopita alihamasisha vijana waandike CV zao, probably ndio hizo alizozipata.

Kama unamfuatilia utajua hili swala alilianza mwanzoni mwa huu mwaka.
 
Anajua anachokifanya
Kwa vitu kama vipi mtu kama huyu anakuwa na backup kubwa sana.
 
Back
Top Bottom