Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha
Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili miaka mitano ya Rais Samia itaisha na watabaki na wananchi
Wasani wa bongo....hahahaMchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha
Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili miaka mitano ya Rais Samia itaisha na watabaki na wananchi
Sawa shishibibiAtembeze matraco yake mbele huko, amekosa ugali nchini kwake anakuja kujaribu kutushawishi sisi.
Nani kakwambia amekosa ugali? Yupo vizur kabisa na yeye huko kwao anasimama na wananchi mara kwa maraAtembeze matraco yake mbele huko, amekosa ugali nchini kwake anakuja kujaribu kutushawishi sisi.
Machawa mna wakati mgumu chini ya mama, kila kona ya dunia samuya anapingwa!.Atembeze matraco yake mbele huko, amekosa ugali nchini kwake anakuja kujaribu kutushawishi sisi.
huyo jamaa sio chawa ila amejibu kwa kupanicMachawa mna wakati mgumu chini ya mama, kila kona ya dunia samuya anapingwa!.
Atembeze matraco yake mbele huko, amekosa ugali nchini kwake anakuja kujaribu kutushawishi sisi.
Ujumbe utakuwa umekupita, ameisema hiyo kama vile mtu anaposema kitu huku akikonyeza jicho.Ushauri mzuri ,ila hapo kwenye miaka mitano ya Samia kuwa itaisha ni uongo,hatoboi Samia ,lasivyo uchumi wa nchi yetu utashuka sana Tena sana,simuoni Samia akiwa rais tena
Mambo ya ******* sifagilii tuheshimiane.Sawa shishibibi
Kwa sasa wasanii wote ni kama jalala tu hawana cha maana tena.Nani kakwambia amekosa ugali? Yupo vizur kabisa na yeye huko kwao anasimama na wananchi mara kwa mara
Lakini pia mbona wasanii wa bongo kama wamepotea? Wananchi hawawamini tena
Utakuwa ni mgonjwa kichwani wewe, mimi wa kufananisha na chawa wa ccm utakuwa timamu kweli!Machawa mna wakati mgumu chini ya mama, kila kona ya dunia samuya anapingwa!.