Mchekeshaji Eric Omondi awashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi rais ni wa muda tu

Mchekeshaji Eric Omondi awashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi rais ni wa muda tu

Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha

Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili miaka mitano ya Rais Samia itaisha na watabaki na wananchi

Kidogo Leo kaongea kitu.. Kawa na akili
 
Hizi mbwa zenye njaa ambazo zinaweza hata weka utu wao rehani ndio wasimame na wananchi???
 
Wewe ni msanii??
Ungetulia tusingejua wewe ni mpumbavu
Huna cha maana peleka undunguwazi wako hukohuko, mimi sipo hapa kutetea wasanii wa Tz nipo hapa kupinga kila msanii yeyote unayemjua ulimwenguni, ndio maana sikubaliani na huyo mbuzi.
 
Back
Top Bottom