Mchekeshaji maarufu auaga ukapera

Mchekeshaji maarufu auaga ukapera

40600e4dcd289f923f5ad357ba492a11.jpg


Hongera kwako Masele.
Daa!!ndo kajitenga kwenye kundi letu!!any way mungu azidi kuwapigania katika ndoa yao!!
 
Masele katika real life naamini ni chapombe pia. Anyway hongera zake
Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.
 
Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.
Sio kweli Masele hadi real life ni mlevi...uyo mkewe ndo ana bar kabisa nje kwao....
 
masele nilikutana nae moshi maeneo kiborloni msela kama bado aka kahasili ka kuyumba yumba vile japokuwa hakuonekana kama ameshitua
 
Back
Top Bottom