Duu ulidanganywa kwenye media nini?huyo jamaa anakula mayi mbayahanywi pombe kabisa
Nialike
hapana....pacha wake ndio anakunywaDuu ulidanganywa kwenye media nini?huyo jamaa anakula mayi mbaya
Daa!!ndo kajitenga kwenye kundi letu!!any way mungu azidi kuwapigania katika ndoa yao!!
Hongera kwako Masele.
Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.Masele katika real life naamini ni chapombe pia. Anyway hongera zake
Hongera kwako Masele.
Hongera kwako Masele.
hujanikwaza...and yes it's me...Sorry for comming late.....nimeipenda hiyo picha yako balaa!.....is that really ..u....sorry kama nimekukwaza.....
nakuombea upatebado mimi
ng'ombe hazeeki mainiHuyo mwanamke mbona amezeeka hvo
kisa mwanya au?Huyu bi harusi ana undugu na Penny Mwingira yule x wa diamond na mtangazaji Tv 1 sijui?
Aaaahahahaha..... Si uyo jamanMwanamke mzuri yuko wapi hapo?
Unamsanifu na ndoo maana umechekaAaaahahahaha..... Si uyo jaman
mi nikajua "Tayari" Ukweni JF!nakuombea upate
Dah unless kama ana identical twin na sie yule wa king'okoHajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.
Sio kweli Masele hadi real life ni mlevi...uyo mkewe ndo ana bar kabisa nje kwao....Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.