Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Jan 12, 2017 #101 Asprin said: Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo. Click to expand... Uo ni uongo masele hata kwenye maigizo anakunywa kabisa bia leo unasema hanywi?? hata Kwenye mizenywe vituko show alikuwa napiga kabisa ulabu
Asprin said: Hajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo. Click to expand... Uo ni uongo masele hata kwenye maigizo anakunywa kabisa bia leo unasema hanywi?? hata Kwenye mizenywe vituko show alikuwa napiga kabisa ulabu
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 499 Jan 13, 2017 #102 Mwakyambange umwifyusi said: [emoji23] [emoji2] [emoji3] We mkimbizi, unashindwa kutambua majina ya kitanzania halisi yepi ya kike na ya kiume, kwenu Mwakyambange ni mwanamke? Click to expand... Hahhaah duuùu Hapa shida
Mwakyambange umwifyusi said: [emoji23] [emoji2] [emoji3] We mkimbizi, unashindwa kutambua majina ya kitanzania halisi yepi ya kike na ya kiume, kwenu Mwakyambange ni mwanamke? Click to expand... Hahhaah duuùu Hapa shida
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 499 Jan 13, 2017 #103 fakalava said: Click to expand... hahaha Huyu kasha kunywa hebu angalia dk 5 mpaka ya 9. Anasinzia kabisa
fakalava said: Click to expand... hahaha Huyu kasha kunywa hebu angalia dk 5 mpaka ya 9. Anasinzia kabisa