Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Hongera kwako Masele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio igizo mkuuCha Pombe Masele. Au hilo nalo ni igizo??
Sawa kiongozi, ila amepotea kwenye tasnia. Ni muda mrefu sijaona harakati zakeSio igizo mkuu
Hata me sijamwona mda kweli.Sawa kiongozi, ila amepotea kwenye tasnia. Ni muda mrefu sijaona harakati zake
Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?Kuna watu wanadai wanawake wazuri huwa hawaolewi, hawa sijui wanatoka wapi.
scopio naomba nikuulize kitu....![]()
Hongera kwako Masele.
Hapo mkuu kama huna ujuzi wa kung'amua mzuri aliyepigwa picha unaweza ukatoka kapaMwanamke mzuri yuko wapi hapo?
Mbavu sinaaaa!!!!Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?
Maana yake nini?Hivi mabibi harusi wanatambua thamani na maana ya ua wanaloshikilia mkononi siku ya kufunga harusi?
Ulizascopio naomba nikuulize kitu....
Inategemea kwako uzuri maana yake niniKuna watu wanadai wanawake wazuri huwa hawaolewi, hawa sijui wanatoka wapi.
kama kweli huyu ni mwanamke mzuri basi, wanawake wazuri wametoweka kama faru john.Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?