Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Hio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?
Hizi ndio akili za wabongo ndio mana nimeishaapa kwenye maisha yangu sitakopesha mtu pesa wala kusaidia yoyote wabongo ma snichi sana washanitia hasara na fedheha mara kibao nishapoteza hela nyingi sana kisa wabongo
 
Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
EATV wanajua kutengeneza vipaji vipya,kesho unashangaa kuna mwengine anachukua nafasi na anafit.
 
Ni kweli mkuu, marehemu Isack Gamba alipita pale, Regina Mwalekwa, Rose chitala na wengine wengi chimbuko lao ni pale
IPP(ITV/RADIO ONE/EATV/RADIO) pale pamewatoa watangazaji wengi sana ni kama chuo pale wakishabobea wanasepa zao kutafuta maisha sehemu nyingine na maisha yanaendelea fresh kabisa.
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
shukrani ya punda ni mateke
 
Aaaah kudadeki wallah...

Supermix inapwaya..

Alaaniwe pesa.
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Binadamu haridhiki... kafwata pesa anaisahau ea
 
Hajahama ameazimwa na wasafi media.
Are you satisfied?
Unapopewa taarifa kuwa mtu yuko side B from A,usiulize foolish Question kama hilo.
Mbna we ndo bongolala mkuu , sku hzi mtu anaweza kupiga kaz vituo vya kazi hata vitatu vipind tofaut tofaut, tatizo elimu ya kuunga unga ndo inawapoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…