kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Hizi ndio akili za wabongo ndio mana nimeishaapa kwenye maisha yangu sitakopesha mtu pesa wala kusaidia yoyote wabongo ma snichi sana washanitia hasara na fedheha mara kibao nishapoteza hela nyingi sana kisa wabongoHio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?