ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Yaani hakugundua kwa siku mbili mfululizo mpaja mlinzi amshtue?? Uzembe mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah huyu jamaa una bifu nae nini?Acha wamgegede kabisa wakimdaka. Maana ni mnafiki kweli kweli, kama mtoto wa kike.
Na hatuta paza sauti zetu kwajili yake, kama tulivyofanya kwa ROMA na MO DEWJ. Mpaka arudi mjamzito.[emoji57]
Ata simjui wala sijawahi kumwona kwa macho.Hahah huyu jamaa una bifu nae nini?
Angetafuta kiki kama ile ya dudubaya ingemlipaMchekeshaji, Steve Nyerere amesema kuna watu wasiojulikana wamekuwa wakimfutilia kwa siku tatu mfululizo hali inayotishia usalama wake.
Akizungumza na MCL Digital, Steve aliyejipatia umaarufu kwa kuigiza sauti za viongozi mbalimbali nchini amesema aliligundua hilo juzi baada ya kutaarifiwa na mlinzi wake wa nyumbani.
Amesema mlinzi wake ndiye aliyekuwa wa kwanza kugundua kufuatiliwa kwake na alipochunguza alibaini kuwa yupo hatarini.
“Mlinzi aliniambia kuwa ameona gari likisimama nje ya nyumba yangu kwa siku mbili, yaani ni kama vile limekuwa likinifuata kwa nyuma na ninapoingia ndani hubaki nje kwa dakika kadhaa kisha huondoka,” amesema.
Alisema alipopata taarifa hizo alifuatilia na kweli juzi aliona gari likimfuatilia mpaka getini kwake na alipoingia ndani liliondoka.
“Kwa kweli nimetishika sana kwa sababu sijui nafuatiliwa kwa sababu gani, nimetoa taarifa hizi sehemu husika na nina imani hakuna jambo baya litanipata,” amesema.
Mwananchi
View attachment 933293
Kwa jibu hili unaonysha dhahili wewe ni mpuuzi..unamchukiaje kiasi hicho mtu usiyemjua? Mpumbavu kabisa wewe na hayo ma wish yako yatakurudia mwenyewe mjinga mmoja wewe.mxxxm..siwapendi watu wa design yako..eti unaulizwa unamjua unajibu bila aibu simjui na sijawahi kumuona..Ata simjui wala sijawahu kumwona kwa macho.
Kilicho nifanya nimjue ni kihere here chake kwenye misiba ya wasanii, matukio ya wasanii, na mambo yasiomhusu kujitokeza. Kujiliza katika MEDIA.
Na ile ishu ya yeye na mama yake sepenga.[emoji18]
Mbona mi amba rutty simjui Ila namchukia kwa matendo yake, huyu stevo nyege naingana na kaira ni mjinga sana na wengi hatumpendei unafiki wake wa hali ya juuKwa jibu hili unaonysha dhahili wewe ni mpuuzi..unamchukiaje kiasi hicho mtu usiyemjua? Mpumbavu kabisa wewe na hayo ma wish yako yatakurudia mwenyewe mjinga mmoja wewe.mxxxm..siwapendi watu wa design yako..eti unaulizwa unamjua unajibu bila aibu simjui na sijawahi kumuona..