Mchekeshaji Steve Nyerere adai kufuatiliwa na wasiojulikana

Yaani hakugundua kwa siku mbili mfululizo mpaja mlinzi amshtue?? Uzembe mkubwa
 
Serikali impatie Ulinzi wa kueleweka taifa lisije kumpoteza msimamizi wa misiba.
 
Hahah huyu jamaa una bifu nae nini?
Ata simjui wala sijawahi kumwona kwa macho.

Kilicho nifanya nimjue ni kihere here chake kwenye misiba ya wasanii, matukio ya wasanii, na mambo yasiomhusu kujitokeza. Kujiliza katika MEDIA.

Na ile ishu ya yeye na mama yake sepenga.[emoji18]
 
Fedha za rambi rambi zinaamuliwa na wenye nchi, wewe unakufa, kura na nafasi yako
 
Hata akitekwa atakuwa ameenda kuanzisha familia nyingine
 
Angetafuta kiki kama ile ya dudubaya ingemlipa
 
We unapewa escort had kwako unasema unafatiliwa??? ufatiliwe una nn kwanza Mr. Misifa
 
Ata simjui wala sijawahu kumwona kwa macho.

Kilicho nifanya nimjue ni kihere here chake kwenye misiba ya wasanii, matukio ya wasanii, na mambo yasiomhusu kujitokeza. Kujiliza katika MEDIA.

Na ile ishu ya yeye na mama yake sepenga.[emoji18]
Kwa jibu hili unaonysha dhahili wewe ni mpuuzi..unamchukiaje kiasi hicho mtu usiyemjua? Mpumbavu kabisa wewe na hayo ma wish yako yatakurudia mwenyewe mjinga mmoja wewe.mxxxm..siwapendi watu wa design yako..eti unaulizwa unamjua unajibu bila aibu simjui na sijawahi kumuona..
 
Mbona mi amba rutty simjui Ila namchukia kwa matendo yake, huyu stevo nyege naingana na kaira ni mjinga sana na wengi hatumpendei unafiki wake wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…