Mkuu kwani hua mnafatilia wa2 dizain ipi?!
!
Nani Amfatilie Huyu Kubushuti?
#Natafutiwa BAN JF kwa nguvu.Kwa jibu hili unaonysha dhahili wewe ni mpuuzi..unamchukiaje kiasi hicho mtu usiyemjua? Mpumbavu kabisa wewe na hayo ma wish yako yatakurudia mwenyewe mjinga mmoja wewe.mxxxm..siwapendi watu wa design yako..eti unaulizwa unamjua unajibu bila aibu simjui na sijawahi kumuona..
wewe ndio msteve mwenyewe nini? maana si kwa povu hiloKwa jibu hili unaonysha dhahili wewe ni mpuuzi..unamchukiaje kiasi hicho mtu usiyemjua? Mpumbavu kabisa wewe na hayo ma wish yako yatakurudia mwenyewe mjinga mmoja wewe.mxxxm..siwapendi watu wa design yako..eti unaulizwa unamjua unajibu bila aibu simjui na sijawahi kumuona..
Huyo alikua anataka atuchekeshe tu, sema tumegoma kucheka. Akaokote korosho LiwaleKumbe mchekeshaji? Haya tumeshacheka
HahahahaAcha wamgegede kabisa wakimdaka. Maana ni mnafiki kweli kweli, kama mtoto wa kike.
Na hatuta paza sauti zetu kwajili yake, kama tulivyofanya kwa ROMA na MO DEWJ. Mpaka arudi mjamzito.[emoji57]