Mchekeshaji Teacher Mpamire kutoka Uganda

Mchekeshaji Teacher Mpamire kutoka Uganda

Lafudhi ya kiingereza wanachoongea Waganda huwa inakinai...

Mpamire unapenda tu ile ukimsikiza au mtazama day one, baada ya hapo unaanza muona mruga ruga
 
Nilianza kumkubali aliposema hivi...
Yoweri Museveni ndie rais Mwenye washauri wengi zaidi kupita marais wote....

Anawashauri 479

Katika hao wengine hawajawahi kumuona..

Na hata wanaemuona yeye ndiye huwa anawashauri.......
Hii kitu niliipendaga kweli
 
Back
Top Bottom