Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 726
Ha ha haa !! Endelea kuumiza kichwa kidogo Mkuu !!opaque bana hii AVATOR inanipa maswali mingi sana kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa !! Endelea kuumiza kichwa kidogo Mkuu !!opaque bana hii AVATOR inanipa maswali mingi sana kichwani
tehe tehe aaah acha bana.....unajua mchizi mox kaimba kuchora kuchora kitu unaweza ukachora na vile vile usioone ndani alafu unajua yule shori hakuwa wangu....sawa kiwango kama fabregas lakini mie viwango vyangu kama Zidane bana.....
Huyo shori wako mwenye tattoo ya jina lako ni Eninka?
heheheheheheee....sasa unajua kwa nini yo yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....
Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
YouTube - Soulja Boy @ T.I. Last Concert before jail
turn ma swagger on.....Nyani Ngabu utaishije majuu hujirushi AKA utazipataje sasa?.... mi concert unaendaga kijana?
Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....
Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
Shame shame,
Aibu tupu.
User name yake nani?