TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #21
Ndio hvyo boss sikukuu imepita kwa kura shingo,utumbo na miguu ya broiler anayokaanga mamaaa Amiiina.πππMboga ya maskini sio nyama mleta mada waachie nyama matajiri
Na hayapatikani aiseeMafuta ya alizeti imefika 90,000 dumu la lita 20 na 5,000 kwa Lita huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNdio hvyo boss sikukuu imepita kwa kura shingo,utumbo na miguu ya broiler anayokaanga mamaaa Amiiina.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimenunua nyama elfu 7 leo.Habari wadau!
Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka.
Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi vituko sasa sijuhi kuna logic gani ya kupandisha bei ya nyama hivyo.
Tunaomba serikali iingilie kati hawa wanaopandisha pandisha bei kiholela siku kama hizi.
Mchanganyiko wanawekaga nyama ya jana, utumbo mapupu nk nk kwa 6000/=
Haina tofauti sana na ile ya Snoopy!
Kabisa, mimi nilianza kidogo kidogo now bandani hawapungui 70... Nimesahau kununua mayai na nyama ya kuku hata bei siijui.... Sikuu najichinjia 3 mambo yanaenda....Fuga kuku wa kienyeji kama una nafasi. Uzuri wa kuku wa kienyeji wanakula mabaki ya vyakula na pumba za mahindi hata dagaa.
Maeneo mengine ni buku 10 ,kwngn buku 9 baba!Nimenunua nyama elfu 7 leo.
Maeneo mengine ni buku 10 ,kwngn buku 9 baba!
Labda ww utakuwa unakaa karibu na machinjioππππUtakuwa unakaa USHUANI.
USWAHILINI MATOLA ni Buku 7 kwa sikukuu ila Kesho ni Buku 6.