The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchele gani na wapi
Mkuu jana nmenunua kg 3700Najaribu Tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
Kwetu elf 9😬😬Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
Bora kwenu. Sisi kwenu afu kumi na mfuko hupewi.Kwetu elf 9😬😬
Kawaida supa ni 2800 hadi afutatu iyo 3800 wamekupigaMaeneo ya kwetu Kilo moja Mchele 3,300/= , Maharage ya njano 3,800/=
Kawaida supa ni 2800 hadi afutatu iyo 300,800 wamekupiga
😂Ni supa hauna chenga wala haujapakwa mafuta ya nazi ili ung'aeMchele wa Afutatu haufai hata kwa vitumbua.
😂Ni supa hauna chenga wala haujapakwa mafuta ya nazi ili ung'ae
2800 wapi mkuu tuje tupone huko??Kawaida supa ni 2800 hadi afutatu iyo 3800 wamekupiga
Ndio halisi mkuu.trailer tu picha lenyewe bado halijaanza 2023.Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
2800 wapi mkuu tuje tupone huko??
Duh ndio maana huwa na tatizo la gas kumbe mafuta huwekwa kwenye mchele😳😀 kweli nimeamini unajua mchele wewe , kuna siku muuzaji ndiyo aliniambia kwamba mchele uwa unapigwa futa ukiuona unang'aa balaa unaweza kuingizwa kingi kilo elfu 4 kumbe ni FUTA tu.
Duh ndio maana huwa na tatizo la gas kumbe mafuta huwekwa kwenye mchele😳
Kuna mengi sana masokoni mf mtindi uongezewa unga wa ngano,karoti huoshwa Kwa sabuni za unga, juice za mtani ni matunda mabovu😀 kweli nimeamini unajua mchele wewe , kuna siku muuzaji ndiyo aliniambia kwamba mchele uwa unapigwa futa ukiuona unang'aa balaa unaweza kuingizwa kingi kilo elfu 4 kumbe ni FUTA tu.