Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

Mfumuko wa bei za bidhaa umekuwa kero kwa wanachi wengi.
Maisha yamebana Sana kwa kweli
 
😀 kweli nimeamini unajua mchele wewe , kuna siku muuzaji ndiyo aliniambia kwamba mchele uwa unapigwa futa ukiuona unang'aa balaa unaweza kuingizwa kingi kilo elfu 4 kumbe ni FUTA tu.
Duh ndio maana huwa na tatizo la gas kumbe mafuta huwekwa kwenye mchele😳
 
😀 kweli nimeamini unajua mchele wewe , kuna siku muuzaji ndiyo aliniambia kwamba mchele uwa unapigwa futa ukiuona unang'aa balaa unaweza kuingizwa kingi kilo elfu 4 kumbe ni FUTA tu.
Kuna mengi sana masokoni mf mtindi uongezewa unga wa ngano,karoti huoshwa Kwa sabuni za unga, juice za mtani ni matunda mabovu
 
Back
Top Bottom