Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

Unaambia hiyo ni trela. Picha bado.
 
Attachments

  • 20230102_201549.jpg
    20230102_201549.jpg
    120.2 KB · Views: 9
"Wewe hujui Habari ya Leo ni kuwa tumeruhusiwa kuongea siasa majukwaAni. Tanzania imerudi.Tujenge nchi" - alisikika mbwa mmoja
 
Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
Mwenyekiti anasema ni wakati sasa wakujenga nchi pamoja! Huku Bi mkubwa anasema mtuseme mbona bei zinapanda sana wa wataenda kushusha!
 
Kuna mengi sana masokoni mf mtundi uongezewa unga wa ngano,karoti huoshwa Kwa sabuni za unga, juice za mtani ni matunda mabovu

Aisee hatari hawa jamaa watatumaliza kwa matakataka yao ,mimi ni mpenzi wa mtindi hasa Tanga,Kilimanjaro na Asas ila noana kila mtindi una texture na ladha tofauti inawezkana wanfanya mafekeche.

Juice za embe au parachichi huwa sinywagi kabisa mimi juice ya ukwaju au ya miwa ndiyo natumia.

Karoti wanaosha nasabuni ndiyo inakuwaje? Lengo ni nini?
 
Karoti zinapigwa sabuni za unga Kwa Siri sana ili zisioze wakati wa kusafirishwa
 
Ni wakati mzuri wa kuwekeza kwenye kilimo.
 
NYIE MNAIBIWA SANA JANA MIMI NILINUNUA KILO 1500,ILA BAADA YA KUPIKA CHAKULA CHOTE KILIKUWA NA KINANUKA MAFUTA,KAMA UNATAKA HUO MCHELE NITAFUTE NIKUUNGANISHE NA MUUZA DUKA
 
NYIE MNAIBIWA SANA JANA MIMI NILINUNUA KILO 1500,ILA BAADA YA KUPIKA CHAKULA CHOTE KILIKUWA NA KINANUKA MAFUTA,KAMA UNATAKA HUO MCHELE NITAFUTE NIKUUNGANISHE NA MUUZA DUKA
Wamekuuzia bei hiyo kwa sababu ukipika chakula "kinanuka" mafuta kwa maneno mengine ni m'bovu.
 
Wamekuuzia bei hiyo kwa sababu ukipika chakula "kinanuka" mafuta kwa maneno mengine ni m'bovu.
KWANI CHA MSINGI NANI ALIYEIBIWA KATI YANGU MIMI NA NYIE,MIMI NINENUNUA 1500 WEWE 3500 HAPA NANI KAIBIWA??
 
Back
Top Bottom