Mchele super mzuri kilo 6000+ unauzwa

Mchele super mzuri kilo 6000+ unauzwa

nafikiri ingesomeka
MCHELE SUPER MZURI ZAIDI YA TANI SITA UNAUZWA
 
Kilo 6000 ni sawa na tani 6
Kwa makadilio haraka haraka km gunia la debe 10 gunia litakuwa na kilo 200kg

Ambazo ni sawa na gunia km 30 hivi

Mtoa mada unheweka kwa mtindo huu ingekuwa poa mtu akisikia kg 6000 anaweza kujua bonge la mzigo akaja na litandam kumbe mzigo wa canter
 
Back
Top Bottom