Kilo 6000 ni sawa na tani 6
Kwa makadilio haraka haraka km gunia la debe 10 gunia litakuwa na kilo 200kg
Ambazo ni sawa na gunia km 30 hivi
Mtoa mada unheweka kwa mtindo huu ingekuwa poa mtu akisikia kg 6000 anaweza kujua bonge la mzigo akaja na litandam kumbe mzigo wa canter