Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Siyo kweli, hilo ni changa la macho, nunuwa peleka kwenye sherehe ambayo unapikwa wali mwingi au pilau kama watu hawajaondoka bila kula.Kuna mtaalamu wa lishe humu JF aliwahi kusema kuwa hiyo ni njia ya kuuhifadhi mi nikamuelewa maelezo yake.
Watz sio kila kitu ni kupigwa.
Anyway fanya utafiti mdogo wa madhara ya kupaka mchele mafuta ya kula utuletee, vinginevyo.
Siyo kweli, hujui ukweli halisi kwa nini wanapaka mafuta, fuatilia wanaouza samaki wakavu wa kwenye mabwawa wao ndio wako na brush kabisa kama shoshiner vile.Mchele huwa unapakwa mafuta ya kupikia, huwa inasaidia wadudu hawaingii na unakaa muda mrefu zaidi.
Una umri gani?Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je ni mafuta ya aina gani?
Tunashuhudia kansa kuongezeka nchini kila kukicha je hawa wa mchele hawasababishi hili?
Tunaomba majibu ya kina ili tujue hatima ya afya zetu
Mhh hatari sana imefikia huko!Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili?
Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani?
Tunashuhudia kansa kuongezeka nchini kila kukicha je hawa wa mchele hawasababishi hili?
Tunaomba majibu ya kina ili tujue hatima ya afya zetu
Mkuu sio kila kitu unapinga bila sababu ya msingi. Mchele unapotoka kiwandani kabla kupakiwa kwenye mifuko wanapaka mafuta kama njia ya kuuhifadhi usiharibike na kuvamiwa na wadudu hatarishi. Hii inafanyika kwa muda mrefu sana labda kama hamkua mnajua. Tembelea viwanda utashuhudia haya na watakupa elimu zaidi nini wanakifanyaSiyo kweli, hilo ni changa la macho, nunuwa peleka kwenye sherehe ambayo unapikwa wali mwingi au pilau kama watu hawajaondoka bila kula.
Wala usiwe na shaka ni mafuta haya haya ya kula, ndiyo nayotumika, kama soko la CONGO DR, bila na kuongeza kitunguu, utauza mchele wako kwa tabu sana, hata kama umenyooka kama ule wa biriani, lakini haunukii,!!! Ushaharibuuu!!Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili?
Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani?
Tunashuhudia kansa kuongezeka nchini kila kukicha je hawa wa mchele hawasababishi hili?
Tunaomba majibu ya kina ili tujue hatima ya afya zetu
Hilo limeanza muda mrefu sanaaaKumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili?
Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani?
Tunashuhudia kansa kuongezeka nchini kila kukicha je hawa wa mchele hawasababishi hili?
Tunaomba majibu ya kina ili tujue hatima ya afya zetu
Ushawahi kuuza mchele?Siyo kweli, hilo ni changa la macho, nunuwa peleka kwenye sherehe ambayo unapikwa wali mwingi au pilau kama watu hawajaondoka bila kula.
Sipingi kila kitu ila ninaona mengi, yuko mtu namjuwa anatumia dawa za kuhifadhia maiti kusafirisha mboro za ng'ombe Kenya kwenye soko lake ambazo zinatumika kama law material.Mkuu sio kila kitu unap8nga bila sababu ya msingi. Mchele unapotoka kiwandani kabla kupakiwa kwenye mifuko wanapaka mafuta kama njia ya kuuhifadhi usiharibike na kuvamiwa na wadudu hatarishi. Hii inafanyika kwa muda mrefu sana labda kama hamkua mnajua. Tembelea viwanda utashuhudia haya na watakupa elimu zaidi nini wanakifanya
Nimeishi sehemu wanapolima mpunga Kwa wingi, nimeshuhudia sana Hilo zoezi la kupaka mafuta, ni mafuta ya kupikia.....ugomvi wangu ni namna ya upakaji tu, mchele unamwagwa kwenye turubai, unamwagiwa mafuta kisha unachanganywa Kwa miguu.Nimefanya sana hiyo kazi ya kupaka mafuta na kimsingi ni hayahaya ya kula na lita Moja unaweza paka gunia hata tatu za mchele ili kuhifadhi dhidi ya wadudu ukienda kuosha unakua kawaida
Nyie ndo mnavuaga na masharti halafu mnapaka mafuta Kwa miguu?🤣🤣🤣Nimefanya sana hiyo kazi ya kupaka mafuta na kimsingi ni hayahaya ya kula na lita Moja unaweza paka gunia hata tatu za mchele ili kuhifadhi dhidi ya wadudu ukienda kuosha unakua kawaida