Mchele wa Magugu

Mchele wa Magugu

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
846
Reaction score
521
Habari wanajukwaa hili! Ni mara yangu ya kwanza kwenye hili jukwaa hivyo naomba msaada wenu na ushirikiano wa kutosha.


Mada kuu iliyonileta ni kuhusu kufanya biashara ya mchele hasa wa kutoka Magugu kule Manyara.Kwa sasa nipo Kenya kutafuta maisha,hivyo nilikua nahitaji kuanza hii biashara sababu wakenya wengi wanapendelea sana huu mchele wa Magugu, hivyo nilitaka kupata sampuli za huu mchele na bei zake kwa jumla.

Pia kama kuna ushauri, mawazo,mapendekezo nakaribisha pia.... Ahsanteni
 
Back
Top Bottom