Mchele wa msaada ugawiwe mashuleni kama ilivyodhamiriwa!

Mchele wa msaada ugawiwe mashuleni kama ilivyodhamiriwa!

Hawa jamaa wagehitaji kutupata waafrika tungekamatika kirahisi mno hata tu kwenye nguo za mitumba! /
Hofu kuwa ya wazungu kwa sasa ni jinsi waafrika tunavyozaliana kwa kasi, ikipigwa hesabu inaonekana by future robo tatu ya wana dunia itakuwa ni waafrika!
mnazaliana kwa wingi ila mnakufa mapema miaka 60 tu mwisho wenu.
 
Kwa ugali huo si ajabu akili zako zimekuwa hivi. Kama kweli lengo ni msaada, Walete pesa tukanunua mchele Mbeya maana umejaa tele! Mambo ya Mchele wenye kuchochea homoni za kike hapana aisee
 
Ukikataa GMO za mchele na mahindi utazikuta GMO za dawa, zipo dawa nyingi zimetokana na GMO

GMOs have also been developed in other fields, such as medicine and industry. In medicine, GMOs are used to produce pharmaceuticals, vaccines, and other medical products. In industry, GMOs can be engineered to produce enzymes, biofuels, or other industrial chemicals.
Umezungumza kitaalam sana. Kongole mkuu.
 
Kwa ugali huo si ajabu akili zako zimekuwa hivi. Kama kweli lengo ni msaada, Walete pesa tukanunua mchele Mbeya maana umejaa tele! Mambo ya Mchele wenye kuchochea homoni za kike hapana aisee
Tatizo letu ni kwamba wataalam wetu na wafanya maamuzi sio waaminifu. Wakituletea fedha cash zitatumika kwa malengo mengine badala ya kile kilichokusudiwa.
 
Ni ujinga kufikiri kwamba wana nia ya kutudhuru kwanza tupo wengi sana watadhuru wangapi? Acheni fikra na mawazo yaliyo pauka
 
Kwa ugali huo si ajabu akili zako zimekuwa hivi. Kama kweli lengo ni msaada, Walete pesa tukanunua mchele Mbeya maana umejaa tele! Mambo ya Mchele wenye kuchochea homoni za kike hapana aisee
How do you prove?
 
Matikiti kudondoka? Matikiti kudongea kwisha tumempoteza mwana mmoja anatafutwa . Ukimwona pisa simu ya milembe mumpeleke direct na usimtoe walahi
 
Back
Top Bottom