mnazaliana kwa wingi ila mnakufa mapema miaka 60 tu mwisho wenu.Hawa jamaa wagehitaji kutupata waafrika tungekamatika kirahisi mno hata tu kwenye nguo za mitumba! /
Hofu kuwa ya wazungu kwa sasa ni jinsi waafrika tunavyozaliana kwa kasi, ikipigwa hesabu inaonekana by future robo tatu ya wana dunia itakuwa ni waafrika!
Umezungumza kitaalam sana. Kongole mkuu.Ukikataa GMO za mchele na mahindi utazikuta GMO za dawa, zipo dawa nyingi zimetokana na GMO
GMOs have also been developed in other fields, such as medicine and industry. In medicine, GMOs are used to produce pharmaceuticals, vaccines, and other medical products. In industry, GMOs can be engineered to produce enzymes, biofuels, or other industrial chemicals.
Tatizo letu ni kwamba wataalam wetu na wafanya maamuzi sio waaminifu. Wakituletea fedha cash zitatumika kwa malengo mengine badala ya kile kilichokusudiwa.Kwa ugali huo si ajabu akili zako zimekuwa hivi. Kama kweli lengo ni msaada, Walete pesa tukanunua mchele Mbeya maana umejaa tele! Mambo ya Mchele wenye kuchochea homoni za kike hapana aisee
How do you prove?Kwa ugali huo si ajabu akili zako zimekuwa hivi. Kama kweli lengo ni msaada, Walete pesa tukanunua mchele Mbeya maana umejaa tele! Mambo ya Mchele wenye kuchochea homoni za kike hapana aisee
KWani mifuko ni michcheNi ujinga kufikiri kwamba wana nia ya kutudhuru kwanza tupo wengi sana watadhuru wangapi? Acheni fikra na mawazo yaliyo pauka
Sina haja ya kuprove ili kukataa, hatuutaki, kwani msaada lazima? Waje na pesa wakanunue mchele Mbeya wapeleke huko mashuleniHow do you prove?