Mchele wa pakistani nihatari kwa wakulima watanzania..!

Mchele wa pakistani nihatari kwa wakulima watanzania..!

Serikali imeamua kuwafutia kodi wafanyabishara wakubwa wa mchele Ili waingize mchele kutoka pakistani...hatua hii niusariti kwa wakulima wakitanzania kwani Imeharibu soko landani na kuwatengenezea wakulima wapakistani soko!Dawa yakupunguza mfumuko wa bei hasa kwenye chakula niserikali Ikubali kupunguza bei za pembejeo,mbegu,madawa na mafuta ya Diesel kwaajili ya trekta...Magodaoni makubwa yamefulika mpunga makamambako,ubaruku,rujewa,chimala,namanyele na kyela!Mpunga mpya upo tayali shambani lkn wakulima wamekwama kuvuna hakuna sehemu yakuhifadhia hawako tayali kuuza kwahasara kwani watashindwa kulipa madeni waliokopa kwa ajili ya shughuli za kilimo..!

Heh heh asavali bana mchele ulikuwa bei kuba sana dugu,wacha tufaudu,poleni kwa wakulima zidini kuichagua CCM,kila siku mnaambiwa CCm ni ya matajiri nyie mnabaki kusema aku ni ya wakulima na wafanyakazi,unafikri uncle MO aligombea ubunge kwa kuwapenda sana wana Singida,sasa atamwaga mchele Tanzania nzima
 
Back
Top Bottom