Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Feb 8, 2025 #1 Habari wana Jf Wakazi wa magugu, Naomba kufahamu bei ya mchele magugu mashineni Na unapatikana mwingi ?
Habari wana Jf Wakazi wa magugu, Naomba kufahamu bei ya mchele magugu mashineni Na unapatikana mwingi ?
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Feb 8, 2025 #2 Bei inatofautianau kulingana na ubora
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Feb 8, 2025 Thread starter #3 Saro ambayo siyo gred Yoav Gallant said: Bei inatofautianau kulingana na ubora Click to expand...
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 8, 2025 #4 Nikajua sisi wana jf wote ni watu wa usalama kumbe hadi hiyo sekta mpo
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Feb 8, 2025 Thread starter #5 Tupo, tupeane maelekezo
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Feb 15, 2025 Thread starter #6 Ninahitaji mtu aliye Magugu,Manyara Akiwa anajishughulisha na mchele au mpunga itakuwa Aulaa Zaidi