Pre GE2025 Mchengerwa akerwa wanafunzi kukaa chini: Nadhani ameingia leo Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Namuunga Mkono Mheshimiwa Waziri . wanafunzi watakaaje chini wakati serikali imetoa Mabilioni kwa Mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa? Tena inahitaji ujenzi wa madarasa yenye ubora kama haya👎
 
Angesema Mama Mkwe anagawa pesa kununua magoli ya Yanga na Simba huku watoto wanasomea chini ya miti hapa ningesema ana kifua Kipana!
Hata hivyo amesema vizuri!
 
Kakiri kuhongwa milioni 20 kupokea taarifa za wakurugenzi, achunguzwe na takukuru. Au aseme hizo milioni 20 huwa wanamuhonga/anahongwa nani?
 
Namuunga Mkono Mheshimiwa Waziri . wanafunzi watakaaje chini wakati serikali imetoa Mabilioni kwa Mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa? Tena inahitaji ujenzi wa madarasa yenye ubora kama haya👎
Lucas katika watu wabaya saana na wewe umo kila kitu kwako ni siasa na kuangalia tumbo lako bora mwanaccm mwenzako kifua kipana ameliona hili, hali ni mbaya mno watoto kama wako utumwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…