PreGE2025 Mchengerwa amshukia Gambo "Tuhuma zake ni za Uongo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha iliyopotea ama kuibiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Arusha Jiji.

Soma Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.

Soma, Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.
 
Aiache tume ya sipika ifanyie kazi na hiyo ndo itathibitisha hicho asemacho

Anakuwa waziri mweupe kiasi hiko ilihali tayari spika ameshaunda jopo la kuchunguza tuhuma hii

Akae kwa kutulia maana tunajua yupo kwa kubebwa
 
Mkwe ameamua kumlinda mama mkwe asichafuke kwa kuonekana ameshindwa kuudhibiti ufisadi.

Mkwe Kaona bora amkaange mbunge Gambo.

Hii ni serikali inayolea mafisadi. Mafisadi yako kwenye comfort zone ktk awamu ya huyu mzanzibari mwanamke.
 
Jamaa wamemruka kama hawamjui tukumbuke hii kashfa ilikuwa inawaondoa wengi pia ingekuwa aibu Kwa mama......CCM ni mafala sana
 
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha iliyopotea ama kuibiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Arusha Jiji.

Soma Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.

😂😂 huyu hata serikali za mitaa atasema tuhuma za uongo. Wenyewe ndiyo wezi kama yule wa ujenzi hakusema walikuwa wanataka kuwapa wa Oman wa Mama airport ya Kia akawa anawazungusha bunge hivi hivi
 
TAIFA linajiendea tu kwa mafisadi kwa MWENDO w jet.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha iliyopotea ama kuibiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Arusha Jiji.

Soma Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.

Mjinga huyu, Mnajenga jengo la utawala jipya ili iweje? kwa faida ya nanu kama sio ipigaji?
 
Mkwe kiburi kimemuingia sana kwenye damu kwa sasa, Jamaa was very smart before
ila Hajui yeye bado ana Muda mrefu sana kwenye Siasa kwanini anapandisha Mabega ivi?
 
Huyu Mchengerwa anauhalali gani wa kunyooshea kidole wakati yeye na Mama mkwe wake wamepora Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
Siasa isikwamishe maendeleo na pia isitumike kuwaumiza watumishi
 
Gambo kakalia kuti kavu. Kwa ninavyomjua ataanza kumpiga fitina Mchengerwa na hapo ndipo atakapoangukiwa na kitu kizito.
 
Back
Top Bottom