😂😂 huyu hata serikali za mitaa atasema tuhuma za uongo. Wenyewe ndiyo wezi kama yule wa ujenzi hakusema walikuwa wanataka kuwapa wa Oman wa Mama airport ya Kia akawa anawazungusha bunge hivi hiviWaziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha iliyopotea ama kuibiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Arusha Jiji.
Soma Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.
Mjinga huyu, Mnajenga jengo la utawala jipya ili iweje? kwa faida ya nanu kama sio ipigaji?Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha iliyopotea ama kuibiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Arusha Jiji.
Soma Pia: Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni
Mchengerwa amebainisha hayo mara baada ya kufuata maelekezo ya Spika Tulia Ackson aliyemtaka kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma hizo zilizowasilishwa na Mhe. Gambo ambapo Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma hizo ni tuhuma zisizokuwa na mzizi, zisizokuwa na hoja, akiziita kama cheche za siasa ambazo hazifai ndani ya taasisi zenye misingi ya kisheria.
Na kuna wajinga humu wanashangilia ilihali wajanja walisha gawanaTAIFA linajiendea tu kwa mafisadi kwa MWENDO w jet.
KAZI ni kipimo cha utu
Huyu ni mpumbavu, anajibu kisiasa tu hapaGambo alitoa figure na amount inayotumika kujenga, mbona hazijibiwi matokeo yake Kuna mipasho kwenye majibu?