PreGE2025 Mchengerwa amshukia Gambo "Tuhuma zake ni za Uongo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gumble aamie chadema hao wenzie washazoea kupiga!! Uwanja tuu ulikarabatiwa Kwa mabilioni alafu tunaambiwa haifai we hushangaii...
Kiongozi amewekwa kihila ili amshindishe mamamkwe utamuwezea wapii!!
 
Unategemea mkwe amvue nguo Bashite mpendwa wa mkwee?
 
Gambo si alisema gharama zilizopitishwa ni kubwa kuliko uhalisia na si kwamba pesa zilizopitishwa zimepigwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…