ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu
1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii.
Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa Ngorongoro huko Msomela
Masai waliteseka kutoka kwenye eneo la asili japo kampeni ilikuwa ya kuhama Kwa hiari
Lakini tulishuhudia Masai walioamua Kubakia Ngorongoro wakinyimwa haki ya huduma za kijamii kama afya, soko, elimu na kkatiliwa kujiandikisha kama wapiga kura
2 Akiwa wizara ya Habari, michezo na utamaduni
Vyombo vya habari vilionja joto la Jiwe
Vingi Kwa namba vilifungiwa na faini kubwa
Kuzuiwa Kwa telegram
Kuzuiwa Kwa VPN
Wasanii wengi walinyooka
Michezo huko hajaacha legacy yoyote
2 Wizara ya TAMISEMI
Wizi wa kura za serikali za mitaa, ulilipotiwa na zoezi la uandishaji kugubikwa na udanyanyifu, hapa hadi watoto wa shule waliandika, marehemu naajina fake
Kushindwa kuajiri kada ya afya na elimu kama zilivyozoeleka
Nashauri mama ampige bench ampe nafasi Luhaga Mpina