Nimeshangaa, hawa ZIKOMO si ndio wanampa(ga) tuzo za vitabu Yeriko Nyerere kila mwaka?Unabisha
Eti ushindi wa waTanzania wote. Mimi mnitoe kwenye huo Ujinga.
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa niaba yake katika sherehe za ugawaji wa tuzo hizo usiku wa Desemba 17.
Aidha Waziri Mchengerwa amewapongeza waandaji wa Tuzo za Zikomo na amewashukuru wote waliompigia kura huku akisisitiza kuwa ushindi huu sio wake peke yake ni ushindi wa watanzania wote
Source Paza Sauti Media
Yericko Nyerere Kila baada ya miezi miwili huwa anashinda hizo tuzo..Zikomo si ndio zile tuzo anazoshinda huyu kibaka Yericko Nyerere kila mwaka.
Hizi ni tuzo ambazo haziko serious kuanzia kwa waandaji hadi wanaoshirikishwa.
Hiyo ikupe picha hizo tuzo ni za aina gani katika viwango vya kidunia.Yericko Nyerere Kila baada ya miezi miwili huwa anashinda hizo tuzo..
Hata wiki iliyopita alishinda🤣🤣🤣
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa niaba yake katika sherehe za ugawaji wa tuzo hizo usiku wa Desemba 17.
Aidha Waziri Mchengerwa amewapongeza waandaji wa Tuzo za Zikomo na amewashukuru wote waliompigia kura huku akisisitiza kuwa ushindi huu sio wake peke yake ni ushindi wa watanzania wote
Source Paza Sauti Media
======================
My take: Vita ya URAIS
😹😹😹 Nilinuna na huo mtuzo wa mchongo nilivyoona comment yako nimecheka..!!
🤣🤣 hizi tuzo za matapeli zisikununishe we cheka kwa usalama wa afya yako😹😹😹 Nilinuna na huo mtuzo wa mchongo nilivyoona comment yako nimecheka..!!