Mchengerwa atoa siku 21 uwekezaji viwanda vya dawa

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.

Muuaji
 
Huyu ana jambo lake.....hili eneo ni very sensitive....
Muda utaongea....
 
Back
Top Bottom