LGE2024 Mchengerwa: Changamoto zilizojitokeza zinatusaidia kujipanga uchaguzi ujao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3?

Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi tumeanza juzi! Am so wandaz

===

Your browser is not able to display this video.


Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tamisemi, Mohamed Mchengerwa amesema changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa katika baadhi ya maeneo nchini, zinawasaidia kujipanga na kuwa bora zaidi katika uchaguzi ujao.

Mchengerwa ameyasema hayo leo Novemba 27, 2024 alipokuwa akizungumza mubashara katika televisheni ya Taifa (TBC) Dar.
 
kujisahihisha ni muhimu sana ili kujiimarisha na kua bora zaidi mbeleni.

well said ndugu waziri πŸ’
 
Anawapa matumaini CDM ili wasisusie 2025.

Amandla...
 
Hamna lolote. Wamekuwa wakisema hivyo kutokana na chaguzi za 2019 na 2020, mbona madudu yale yale yamejirudia mwaka huu? Hakuna utashi wa kisiasa wa kujifunza, ni maneno tu ya mdomoni.
 
stupid bladifken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…