PreGE2025 Mchengerwa: Gambo hakushiriki kikao lakini posho alichukua

PreGE2025 Mchengerwa: Gambo hakushiriki kikao lakini posho alichukua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, leo amefichua kuwa malumbano ya kiuongozi katika utekelezaji wa mradi mmoja yalikwamisha maendeleo kwa kipindi kirefu hadi pale Waziri Mkuu alipoingilia kati mwaka 2023.

Akizungumza mbele ya Bunge, Waziri Mchengerwa amesema:

"Malumbano hayo yalipelekea mradi kusimama kwa muda mrefu mpaka mwaka 2023 baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kuingilia kati na baadhi ya watumishi kushtakiwa. Kamati ya Fedha, mbunge alikuwa ni mjumbe wa Kamati ya Fedha wakati huo, hakushiriki kikao husika kwa ruhusa lakini posho alichukua..."

Soma, Pia: Spika Dkt. Tulia awapeleka Gambo na Mchengerwa kamati ya Maadili, mvutano watokea Bungeni

Hawa watu waccm ni hovyo kabisa.swala la posho cjui alilichomekeaje hapo.kama akina ruhusa kwa udhuru basi ilikuwa haki yake kuchukua posho shida majitu ya CCM ni manafiki na mafitinishi sana.
 
Siasa za maji taka, yaani unamdharaulisha mtu ili hoja yake isichuliwe kwa uzito..
 
Back
Top Bottom