GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani!
1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI?
2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani anastahili pongezi nyingi?
1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI?
2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani anastahili pongezi nyingi?