PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”

Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.

Kwani hao ma RC wanafanya kazi kwa kumuogopa nani?
 
Kiburi alichonacho huyu Mtu ni sawa sawa na kiburi alichonacho Dikteta Mobutu Sese Seko kule nchini Zaire (DRC) enzi za Utawala wake hadi kufikia hatua aliamua kuwatangazia Wananchi katika nchi hiyo kwamba yeye Mobutu ndiye 'Rais wa Maisha nchini Zaire' na hana kabisa Mpango wa kustaafu au kuondoka madarakani.
 
Kuna yule anayesema ubwila, ubwala hoyee masaa.
Sijui hawa wanasiasa wetu wamekula nini siku hizi.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”

Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.

Ni kweli. Kama Mchengerwa atachekeana, atamuudhi mkewe na mkwewe bi mkubwa mteule wa Mungu aliyemuondoa Jiwe kkkkkk. Msikilize kwa makini. Eti kwa maagizo yake!!! Je ni kwa sababu anapandaaa ile toto ya bibiee au? Mamlaka haya anayapata wapi chawa huyu au ni kulala kitanda kimoja na bintiii wa bibbieee? Senzi Mchengetwa kabisa. Unatumia chuuuupy kujimwambaff siyo?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”

Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.

Haya tumekusikia Keinerugaba Saelfukkkkk. Yaani baba zima unategemea pupi kupata kula!!!!!
 
Mwambieni baada ya kutamka hayo yote CHEO NI DHAMANA TU............WATU WANARINGIA PUMZI SIO CHEO..........YAWEZEKANA KESHO ASIAMKE NACHO NDIO UTAJUA KUFANYA MAAMUZI AU KUFANYWA KI MBUZI .........ASHAKUMS SI MATUSI
Wabongo mnapenda kutishana, ndio maana ndugu wakikuomba hela ukawaambia sina wanaanza vitisho mara sijui ukifa sisi ndio tutawasaidia watoto wako, sasa kila siku unaomba hela halafu nikifa ndio utasaidia familia yangu..... 🤣
Kamtisheni na Trump basi....
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”

Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.

Sasa napata picha kamili kwa nini nchi imefikia hapa, kama huyu ndio mshauri mkuu wa rais (tena mwanamke na mkwe), zamu hii nchi imepatikana! Wanaoamini miujiza pigeni maombi tu kwa sasa, tunapoelekea sio kuzuri kwa ujumla wake, huyu hana tofauti kabisa na Mzee Malingumu kule Uganda wakati tukiwa vijana tunamsikia. Nchi inataka uponyaji na mama yao anashauriwa mauaji zaidi (I guess kwa kauli hizi hadharani, kule sitting room zisizo na ushahidi itakuwa ni ngumu zaidi wanazoongea) it's common sense. Kauli za hivi huwa haziji bila kuwa na makubaliano kwanza na wenye mamlaka zaidi ya mzungumzaji, ni technicalities za utawala na uongozi tu
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”

Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.

siku yako Mungu ameipanga, kuna siku utajibu maovu yako
 
Back
Top Bottom