Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.

Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”
Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.
Ni kweli. Kama Mchengerwa atachekeana, atamuudhi mkewe na mkwewe bi mkubwa mteule wa Mungu aliyemuondoa Jiwe kkkkkk. Msikilize kwa makini. Eti kwa maagizo yake!!! Je ni kwa sababu anapandaaa ile toto ya bibiee au? Mamlaka haya anayapata wapi chawa huyu au ni kulala kitanda kimoja na bintiii wa bibbieee? Senzi Mchengetwa kabisa. Unatumia chuuuupy kujimwambaff siyo?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”
Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.
Haya tumekusikia Keinerugaba Saelfukkkkk. Yaani baba zima unategemea pupi kupata kula!!!!!Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”
Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.
Wabongo mnapenda kutishana, ndio maana ndugu wakikuomba hela ukawaambia sina wanaanza vitisho mara sijui ukifa sisi ndio tutawasaidia watoto wako, sasa kila siku unaomba hela halafu nikifa ndio utasaidia familia yangu..... 🤣Mwambieni baada ya kutamka hayo yote CHEO NI DHAMANA TU............WATU WANARINGIA PUMZI SIO CHEO..........YAWEZEKANA KESHO ASIAMKE NACHO NDIO UTAJUA KUFANYA MAAMUZI AU KUFANYWA KI MBUZI .........ASHAKUMS SI MATUSI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 2, 2025, katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mkoa wa Arusha, Mchengerwa amesema, “Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana. Tufanye maamuzi magumu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.”
Amesisitiza kuwa uwajibikaji na uthubutu wa viongozi ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya taifa.
Mbona kama kapaniki haongei kama kiongozi hizi damu hizi hazijawai muacha mtu salama.
Kama mkwe yuko hivi ndo anamshauri mama mkwe basiii ndo maana inazidi kutumbukia shimoni.
siku yako Mungu ameipanga, kuna siku utajibu maovu yakoWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa.