PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani Bashite anataka kugombea Ubunge Arusha Mjini?, mbona Mishale imekuwa mingi kwa Gambo?.
 
Huyu ni wakati wake kutamba
Sahv anatamba tu mzee wa,mchengerwa street

Ova
 
Mbona sasa yeye anawachekea wakurugenzi (DEDs)?

Awaambie walipe madeni ya watu kama kweli yupo serious na ustawi wa hivyo vizazi.
 
Mbona walimu wa sekondari anawachekea? Walimu hawafundishi kabisa, zaidi ya elimu ni wapi unatakiwa uwe ssrious?
 
Km anafanya kazi vizuri apongezwe, Mchengerwa ni kiongozi mzuri, hakujua km Samia angekuwa Rais, kumwoa Wanu Hafidh siyo kosa, km ni bahati ni kwake.
 
Reactions: Tui
Unafananisha matatizo ya familia na taifa ?? Unalichukuliaje taifa?? Watu milioni 60?
 
Acheni abwabwaje wakati wake utapita tu

Ova
 
Hayo maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa anayowaagiza ma-RC na ma-DED ni pamoja na kuwaadabisha wapinzani wa kisiasa kwa vile wao ndiyo wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama kwenye mikoa na wilaya zao. Yeye mwenyewe wizara yake ya TAMISEMI imemshinda imejaa uozo kila kona, kazi kubwabwaja tu.
 
Mwambieni baada ya kutamka hayo yote CHEO NI DHAMANA TU............WATU WANARINGIA PUMZI SIO CHEO..........YAWEZEKANA KESHO ASIAMKE NACHO NDIO UTAJUA KUFANYA MAAMUZI AU KUFANYWA KI MBUZI .........ASHAKUMS SI MATUSI
Huyu jamaa nahitaji mawasiliano naye tafadhari.
 
anachekesha sana huyu jamaa, maamuzi yapi magumu wamefanya toka wameingiai madarakani?.

JPM kajenga hydro-power zaidi ya 2000M kuwa na pressure kubwa za ndani na nje.
JPM kaifufua ATCL kukiwa na pressure kubwa ya ndani.
JPM kajenga SGR kukiwa na pressure kubwa.
JPM kajenga 6xlane to Kibaha kukiwa na pressure kubwa.
JPM ameifanya Barrick kuwa share na TWIGA na kuwa game changer kwenye mining industry kukiwa na pressure kubwa.
JPM alipambana mpaka sasa tunaongea lugha ya local content.

Watuambie maamuzi gani magumu wameshafanya toka wameingia madarakani zaidi ya kuifanya nchi danguro., eti maamuzi magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…