LGE2024 Mchengerwa kajaza Uwanja Mafia Lakini Tundu Lissu pale Mwembeyanga hata Robo ya Uwanja hapati, Chadema tumieni Mbinu za kisayansi!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huo ni ushauri kwenu CHADEMA tumieni Mbinu za kisayansi vinginevyo tutawasahau soon

Mlale Unono 😀
Muacheni Tundu Lisu jamani muwe na huruma na utu basi hata kidogo?

Ana nini cha ajabu tena hata ajaze wanja?🐒
 
Sayansi yenyewe ndiyo hii kusomba watu kwenye malori na kuwa tumia wasanii wenye kashfa ya ushoga?
Ile ya pale HQ ya kutoa watu kafara na kuwachukua na kuwafanya vijana misukule ni SayansiKimu ya siasa katika kutafuta uongozi wa chama Taifa right?🐒
 
Sayansi yenyewe ndiyo hii kusomba watu kwenye malori na kuwa tumia wasanii wenye kashfa ya ushoga?
Sasa hii kashfa ya ushoga ili kupata pesa itamshambulia sana kipindi hiki cha uchaguzi kama ataendelea kuitumikia CCM.
Ona wahuni walivyo Anza kutengeneza clip zao. Nimekutana na hii mahali nimecheka sana.
 
Attachments

  • All_Video_Downloader_Webvv_1728564800361.mp4
    7.7 MB
Sasa hii kashfa ya ushoga ili kupata pesa itamshambulia sana kipindi hiki cha uchaguzi kama ataendelea kuitumikia CCM.
Ona wahuni walivyo Anza kutengeneza clip zao. Nimekutana na hii mahali nimecheka sana.
Hii kashfa itawaganda sana hawa madhalim.
 
Hivi mbinu za kisayansi ni kukatiza vijana wetu masomo yao wajaze viwanja au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…